drill bila stress – kazi za haraka bila usumbufu!

drill bila stress – kazi za haraka bila usumbufu!

drill bila stress – kazi za haraka bila usumbufu!

39 Views

Unahitaji kifaa chenye nguvu, rahisi kutumia na kisichokusumbua? 16V Cordless Drill ni suluhisho bora kwa mafundi na watu wa kazi ndogondogo za haraka. Imetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ili kuhakikisha unamaliza kazi kwa muda mfupi bila kuchoka.

Faida Kuu za Drill Hii:

  • Inatumia betri – hakuna kero ya kutafuta soketi au waya ndefu.

  • Nguvu ya 12V–16V – inatosha kabisa kwa kazi nyingi za kutoboa na kufunga.

  • Muundo wa kisasa na mwepesi – haitochosha hata ukiitumia kwa muda mrefu.

  • Inachajiwa haraka – inakaa tayari muda wowote unapoihitaji.

  • Inafaa kwa mafundi wa ndani, useremala, gereji na matumizi ya nyumbani.

Bei: Tsh 100,000 tu!
Agiza Sasa Kupitia WhatsApp: 0757471618
Fanya kazi zako kwa urahisi – Drill Bila Stress ni chaguo la watu makini!

Bei ya Offa sana
Pata Drill kwa Bei Poa sana
Bidha Bora Bei nafuu
Chagua Bidhaa tukulete ulipo